Latest Posts
Salaam za Kagasheki kwa majangili
*Angependa wakikutwa maporini ‘wamalizwe’ huko huko
*Maelfu ya wananchi wakubali adhabu ya kifo kwa wahusika
*Muswada kuipa makali sheria kuwasilishwa Bunge lijalo
Muda ni saa 2 na dakika kadhaa asubuhi. Mbele ya Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuna mamia ya watu wa rika, rangi na jinsi zote. Wana mabango yenye ujumbe maalumu.
Dola ikomeshe vibaka kwenye daladala
Tatizo la vibaka limeendelea kuota mizizi katika daladala za abiria, hasa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watu wanaotumia usafiri huo wa umma wamekuwa wakiibiwa fedha na simu za kiganjani kila kukicha!
Mungu awe nayi wana JAMHURI
Chonde chonje wavuta sigara
Mhariri,
Ninajitokeza kutumia fursa hii kutoa wito kwa watu wote wanaovuta sigara kuacha kasumba mbaya ya kuvuta sigara katika msongamano wa watu, kwa sababu vitendo hivyo vina athari kubwa zaidi za kiafya kwa wasiotumia bidhaa hiyo.
Vijana na makundi matatu ya uongozi
Mwaka 1974 hadi 1978 nilikuwa Katibu Mkuu wa kwanza miongoni mwa waasisi wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Kinondoni (KIFA), Dar es Salaam. Mwaka 1976 Katibu wa wanachuo, Chuo cha TANU Kivukoni, na Katibu wa TANU (Radio Tanzania Dar es Salaam-RTD) kazini.
Habari mpya
- Bilioni 28.8 zaimarisha sekta ya elimu Manyara kupitia mradi wa SEQUIP
- Wanafunzi wamiminika banda la TCCIA
- Wasanii Chege na Madee wainogesha Sabasaba
- Bilioni 5.7 kukamilisha ujenzi shule mbili Siha – Kilimanjaro
- Jenister Mhagama atajwa kuwa kinara kuwezesha mafanikio ya utalii tiba nchini
- Samia aleta mapinduzi Tabora, miradi ya Trilioni 15 yaimarisha afya, elimu na miundombinu
- Juhudi za kuvimaliza vita vya Ukraine zaendelea
- Maafisa maendeleo ya Jamii furukuteni kutoa elimu ya ununuzi wa umma wa asilimia 30 – Mdemu
- NMB, DSE wazindua manunuzi, mauzo ya hisa kidijitali mkononi
- Waziri Mambo ya Nje wa Cyprus akamilisha ziara yake nchini
- Polisi watoa ufafanuzi madai ya ACT – Wazalendo
- Waziri Aweso: Tuna uhakika wa maji ya kutosha Dar na Pwani
- TAWIRI yawakaribisha wadau kufanya tafiti katika spishi muhimu ya Sokwe
- Tanzania ina umeme wa kutosha – Dk Biteko
- WanaCCM 153 Tabora wajitokeza kuwania ubunge