Latest Posts
MTWAREFA YAOMBA RADHI WADAU WA SOKA-MTWARA.
Kutokana na Kamati ya Maadili Kuwakuta na Hatia Viongozi wawili Wa Shirikisho la Soka TFF akiwemo Msimamizi wa Mchezo Mkoa wa Mtwara Dastan Mkundi pamoja na katibu Mku wa Chama Hicho Mkoa wa Mtwara Kizito Mbano Mwenyekiti wa soko Mkoa…
WAZIRI MKUCHIKA AWAFUNDA WALENGWA WA TASAF
Waziri wa Nchi Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika (aliyevaa suti nyeusi) akikagua bidhaa zilizotengenezwa na Walengwa wa TASAFkatika mtgaa wa Inyala katika jiji la Mbeya kama njia mojawapo ya kujiongezea kipato. Waziri Mkuchika (aliyevaa tai)…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 20, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Januari,20, 2018 nimekuekea hapa
HUMPREY POLEPOLE AWAPIGA VIJEMBE CHADEMA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewatupia kijembe Chama Kikuu cha Upinzania CHADEMA, kutokana na kumteua mgombea wa Ubunge jimbo la Siha Mkoa Kilimanjaro kwenye uchanguzi mdogo unatarajiwa…
MBUNGE JOSEPH MBILINYI ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE KWA KUTUHUMIWA KUTOA KAULI ZA UCHOCHEZI
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amerudishwa rumande katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya hadi Jumatatu wiki ijayo ambapo kesi yake ya kutoa maneno ya uchochezi itakaposikilizwa mfululizo. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel…





