JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CP Awadhi akagua miundombinu ya uwanja wa AFCON Arusha

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Awadh Juma amefika Jijini Arusha kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa miundombinu pamoja na mifumo ya kiusalama katika uwanja unaojengwa kwa ajili ya mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON). Katika…

Serikali kuendelea kuiwezesha OSHA ili kuongeza ufanisi wa utendajikazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi(Osha), vitendea kazi ili kuleta ufanisi katika shughuli zake. Ahadi imetolewa na Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, wakati akifunga maadhimisho ya…

Makonda : Maadili nguzo kuu ya maendeleo endelevu ya taifa, azindua mkakati wa Taifa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amezindua Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili wa mwaka 2026/27 hadi 2036/37, huku akisisitiza maadili ni nguzo kuu ya maendeleo endelevu ya…

Wajumbe bodi ya wakurugenzi REA waipongeza ETDCO

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika vitongoji 105 mkoani Mbeya wenye thamani ya shilingi bilioni 10.9 unaotekelezwa na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya…

Rais Samia mgeni rasmi Mei Mosi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe RAIS wa Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Mei Mosi mwaka huu ambazo kitaifa zinafanyika mkoani Njombe. Hayo yamesemwa leo Aprili 29,2026, na Mkuu wa Mkoa huo Anthony Mtaka…

Wanahabari wajadili mustakabali mpya sekta ya habari Tanzania

Wakubaliana kulinda taaluma yao kwa wivu mkubwa Wataka habari ziwe na tija kwa Watanzania Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wadau wa Vyombo vya Habari nchini wamekutana na kujadiliana kuhusu mustakabali mpya wa sekta ya habari kwa lengo la kuongeza ufanisi…