Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani, Mkoani Arusha leo June 25, 2023| PICHA na Ikulu mawasiliano

Viongozi mbalimbali wa Dini, Serikali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Arusha wakiwa ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid kushiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani humo 25 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Kutambua Mchango wake kwenye Mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo Juni 25, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Banda la Maonesho la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Arusha 25 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko kuhusiana na kazi ambazo Ofisi yake inafanya ikiwemo uchunguzi wa kimaabara wa vielelezo mbalimbali ikiwemo dawa za Kulevya katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali kwenye Maadhimisho siku ya Dawa za Kulevya Duniani mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha tarehe 25 Juni 2023.

Msanii wa Bongo Fleva Diamond akitumbuiza katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Msanii Joh Makini, akitumbuiza katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.

By Jamhuri