Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

By Jamhuri