RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa kujumuika nao katika futari maalum aliyowaandali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)

By Jamhuri