Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akifungua pazia kuzinduzia Bohari ya Mafuta katika Bandari ya Jumuishi Mangapwani Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Mangapwani Wilaya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume na (katikati kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Uzinduzi wa Bohari ya Mafuta katika Bandari ya Jumuishi Mangapwani Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Mangapwani Wilaya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) wakati alipotembelea Bandari ya Jumuishi Mangapwani Zanzibar,Wilaya kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja, kabla ya kuzindua rasmi Bohari ya Mafuta katika Bandari hiyo leo.[Picha na Ikulu].04/03/2023.

By Jamhuri