Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipamgo Mhe.Sada Mkuya  Salum kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar  hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Dkt.Khalid Salum Mohamed kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said

By Jamhuri