Rais Samia akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali 2024/ 25
JamhuriComments Off on Rais Samia akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali 2024/ 25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma. Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba tarehe 13 Juni, 2024.