Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua kikosi cha gwaride mara baada ya kuwasili kwenye Bwalo la Maafisa wa Polisi (Police Officer’s Mess) Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.