Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini Dodoma
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma, tarehe 03 Februali, 2025Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja wa Mahakama Kuu wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 03 Februari, 2025.Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 03 Februari, 2025.Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma