Rais Samia ateta na Rais wa Urusi Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow
JamhuriComments Off on Rais Samia ateta na Rais wa Urusi Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Kremlin jijini Moscow nchini Urusi tarehe 03 Juni, 2026.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mwenyeji wake Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati akipokea Heshima ya wimbo wa Taifa wa Tanzania katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.