Rais Samia aweka shada la maua katika kaburi la askari asiyejulikana Urusi
JamhuriComments Off on Rais Samia aweka shada la maua katika kaburi la askari asiyejulikana Urusi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askari asiyejulikana (Tomb of the known Soldier) pembezoni mwa ukuta wa Ikulu ya Kremlin na bustani ya Alexander, jijini Moscow nchini Urusi tarehe 03 Juni, 2026. Kaburi hilo ni kumbukumbu ya wanajeshi wa Kisovieti waliofariki katika vita ya pili ya Dunia ambao utambulisho wao haukujulikana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akielekea kuweka shada la maua katika Kaburi la Askari asiyejulikana (Tomb of the Unknown Soldier) pembezoni mwa ukuta wa Ikulu ya Kremlin na bustani ya Alexander, jijini Moscow nchini Urusi tarehe 03 Juni, 2026.