JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Act – Wazalendo

PIGO TENA KWA ACT-WAZALENDO, DIWANI MWINGINE AAMIA CCM

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Gihandu Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mathayo Samuhenda amejiuzulu udiwani wa kata hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Diwani huyo ameachia kiti hiko cha udiwani wakati akifanya mkutano wa…

ZITTO KABWE APATA PIGO WANACHAMA WAKE ACT-WAZALENDO WAAMIA CCM

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018. Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo…

ZITTO KABWE: POLISI WALINIZUIA KUFANYA MKUTANO JIMBONI KWANGU

JESHI la Polisi limemzuia Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kufanya mkutano katika Uwanja wa Mwanga Community Centre  uliokuwa ufanyike jana. Kwa mujibu wa Barua iliyoandikwa kwa Zitto Kabwe kutoka kwa Mkuu wa Polisi Kigoma Mjini…

ACT Wazalendo: Trump Anapaswa Kuchukuliwa Hatua

Chama cha ACT Wazalendo kimetaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya rais Donald Trump kufuatia hatua yake ya kutoa matamshi ya chuki dhidi ya mataifa ya Afrika na raia wanaotoka bara la Afrika. Kulingana na gazeti la The Citizen ombi hilo…

ACT – Wazalendo Wapata Pigo Jingine

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na liyekuwa mweyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Mama Anna Mgwira ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Anna Mgwira ametangaza uamuzi wake huo, leo katika Mkutano Mkuu wa umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania…