JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: marekani

Watu watano wauawa kwa shambulio la risasi Maryland Marekani

Polisi katika jimbo la Maryland nchini Marekani wanasema watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi lililofanyika katika ofisi za kampuni ya Capital Gazette inayomiliki magazeti ya kila siku katika mji wa Annapolis. Wafanyakazi wa gazeti hilo…

China, Marekani katika vita ya biashara

Marekani inatarajia kuidhinisha viwango vipya vya ushuru ya bidhaa kutoka China hadi kufikia dola za Marekani bilioni 60, huku China nayo ikiahidi kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya bidhaa kutoka Marekani. Afisa wa ngazi ya juu wa Marekani ambaye hakutaka…

Siku Afrika ikiwa kama Marekani itakuwaje?

Na Deodatus Balile   Kwa muda sasa nafuatilia siasa za Afrika na sehemu nyngine duniani. Leo nitajadili mataifa mawili; Marekani na Kenya. Nafuatilia kinachoendelea nchini Marekani. Nafuatilia kinachoendelea nchini Kenya. Narejea misingi ya uhuru wa mawazo na uhuru wa vyombo…

Palestine Yagoma Kumkaribisha Makamu wa Rais wa Marekani

Marekani imeionya Palestina dhidi ya maamuzi yake kutotaka kukutana na makamu wa rais Marekani ,Mike Pence katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika mapema mwezi huu ili kujadili uamuzi wa rais Trump wa kuhamishia Yerusaleam kuwa mji mkuu wa Israel. Ikulu ya…

Marekani Yaionyeshea Ubabe wa Kivita Korea Kaskazini

Jeshi la Marekani limerusha ndege yake aina ya B-1B bomber katika anga ya Korea Kusini kama sehemu ya mazoezi ya pamoja ya angani katika hatua inayoonekana kama onyo kwa Korea Kaskazini. Mazoezi hayo ya kijeshi yanafanyika wiki moja baada ya…