Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dkt Doto Biteko pamoja na viongozi wengine alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Tano wa Kimkataifa wa Nishati, Septemba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati, Septemba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati, Septemba 20, 2023. Kushoto kwake ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri