
Waziri wa Kilimo Dr.Tizeba akiongea na Baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha kubangua Korosho cha Micronix System ltd kilicho Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara ambacho Kimeajiri wafanyajazi 350.

Waziri wa Kilimo Dr.Tizeba akioneshwa aina za Korosho ambazo Tayari zimebanguliwa na kuwekwa kwenye vibakuli ili kupima Ubora Tayari kwa Kupakia Kushoto kwake ni mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo pamoja Meneja Uzalishaji wa ETG Ltd Sunir Mizar.

Waziri kilimo Dr.Charles Tizeba Akipanda Mche wa Mkorosho katika Kijiji cha Machombe,Kata Ya Marika kama Moja ya kuhamasisha upandaji wa Miche Mipya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.



