CCM: CAG safi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema ukaguzi na udhibiti wa ndani ya chama hicho kwa sasa ni zaidi ya kile kilichobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad. Kwa mujibu wa Dk. Bashiru, Kamati ya Kuhakiki Mali za CCM aliyoiongoza kwa takriban…

Read More

CAG apigilia msumari Tarime

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, imesadifu kile kilichoandikwa na Gazeti la JAMHURI katika toleo namba 385 kuhusu ubadhirifu wa fedha za maendeleo katika Wilaya ya Tarime. JAMHURI katika toleo hilo liliandika kuhusu mgogoro wa kiuongozi na tuhuma za upotevu wa fedha za maendeleo zikimhusu aliyekuwa Mkuu…

Read More

Mikoa 3 dhaifu utoaji chanjo

Mikoa ya Katavi, Shinyanga na Tabora inaongoza nchini kwa kuwa nyuma katika kuwapatia chanjo watoto wenye umri chini ya miaka miwili. Akizungumzia hali hiyo hivi karibuni mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Health Promotion Tanzania, Peter Bujari, amesema Mkoa wa Katavi umekuwa na kiwango cha…

Read More

Mchango wa CAG Mei Mosi hii utambuliwe

Mei Mosi mwaka huu wafanyakazi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaungana na wafanyakazi wenzao kwingine duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi. Kwa kawaida mataifa karibu yote duniani huadhimisha siku hii kwa namna tofauti, lakini yenye baadhi ya matukio yanayoshabihiana kama maandamano ya makundi ya wafanyakazi wa sekta tofauti wakiwa na mabango yenye ujumbe wanaoulenga kwa…

Read More

Wasaidizi, mnamsaidia?

Nianze kwa kuwatakia heri ya Pasaka pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi. Wiki mbili zilizopita ambazo zimekuwa na siku za mapumziko nyingi, zimenipa nafasi ya kutafakari kuhusu namna Rais Dk. John Magufuli anavyofanya kazi zake. Wiki moja kabla ya Pasaka rais alikuwa ziarani mkoani Ruvuma. Kwanza nimpongeze kwa kufanya ziara ambayo kwa hakika imeponya mioyo ya…

Read More

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (12)

Katika sehemu ya saba ya makala hii nilihitimisha na aya hii: “Je, unafahamu utaratibu wa kisheria wa kusajili Jina la Biashara, gharama ya usajili, muda wa kukamilisha usajili, nyaraka zinazotakiwa, umri wa mtu anayetaka kusajili Jina la Biashara na matakwa mengine ya kisheria? Usikose nakala yako ya gazeti hili makini la uchunguzi JAMHURI Jumanne ijayo.”…

Read More