JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Simba inakaba hadi kivuli

Yanga dk 90 bila shuti golini Na Andrew Peter Dar es Salaam  Yanga imeweka rekodi mpya ikicheza dakika 90 bila kupiga shuti hata moja lililolenga goli wakati walipolazimishwa suluhu na watani wao Simba kwenye Uwanja wa Mkapa mwishoni mwa wiki….

Mubarak: Rais wa Misri aliyetorosha mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Umoja wa Ulaya (EU) imeamuru mali za rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, ambazo ziko Ulaya zisizuiwe, hivyo kuiruhusu familia yake kuzimiliki bila pingamizi. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 6, mwaka huu, ikihitimisha kesi…

Ulikuwa unakimbilia wapi Magufuli?

Ottawa Na Chambi Chachage  Hakika mengi yamekwisha kusemwa. Mazuri na mabaya. Bila shaka yataendelea kusemwa na kuandikwa. Ni kuhusu aliyekuwa Rais wa Tano Tanzania, Dk. John Magufuli, aliyetutoka rasmi kipindi kama hiki mwaka jana. Jukumu langu katika makala hii ni…

Cutsleeve Riddim yagusa Tanzania

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Kumekuwa na utaratibu wa lebo kutoa nyimbo zinazowahusisha wasanii wanaowasimamia na hakika zimekuwa zikifanya vizuri kwenye chati mbalimbali za muziki. Mfano kipindi cha nyuma lebo ya WCB iliwahi kuachia wimbo wa pamoja unaoitwa ‘Zilipendwa’,…

Tunapata wapi fedha za kuwekeza? (-2)

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita katika ukurasa huu, tulizungumzia namna ambavyo fedha za kuwekeza zinavyoweza kupatikana kwa jamii kuchangishana kwa lengo maalumu, na tukatazama faida zilizopo katika uwekezaji wa pamoja. Tuendelee na sifa za Meneja wa Uwekezaji…

Bunge ndilo husimamia mihimili yote

MOROGORO Na Everest Mnyele Japo haisemwi, kimsingi ukweli ni kwamba Bunge ndilo husimamia mihimili mingine yote; yaani Utawala na Mahakama. Ukuu wa Bunge; Bunge lisilo na woga, hupatikana pale tu panapokuwapo Katiba thabiti ya wananchi. Kwanza, ni lazima tutambue katiba…