JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

‘Royal Tour’ kukuza utalii, uwekezaji kimataifa

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Desemba 9, mwaka jana Tanzania iliadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ikijivunia mafanikio lukuki baada ya kutawaliwa na wakoloni kwa takriban miaka 75. Baada ya kupata uhuru mwaka 1961, Tanganyika, kwa sasa…

Wastaafu TRL wamlilia Rais Samia

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuwasaidia ili uongozi uwape haki zao. Akizungumza kwa niaba ya wenzake zaidi ya 1,000, mmoja wa wastaafu hao,…

CAG akagua fedha za wahujumu uchumi 

*Ni za wale waliokiri makosa, wakalipa faini kwa DPP, sasa yadaiwa fedha hazikwenda serikalini *Ofisa mmoja adaiwa kuchukua kodi ya nyumba iliyotolewa serikalini kwa ‘plea bargaining’ *Wadau waomba fedha za kikosi kazi nazo zikaguliwe DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu …

Mitandao ‘yamponza’ wakili msomi

Ripoti ya CAG yathibitisha madai aliyotoa mwaka jana DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Wiki iliyopita iligubikwa na taarifa za kutoweka kwa mmoja wa mawakili wa Mahakama Kuu, Peter Madeleka, ikidaiwa kuwa ‘ametekwa’ na watu wasiojulikana. Inadaiwa kuwa Madeleka, kachero…

MANUSURA MAUAJI YA KIMBARI: ‘Nimeshamsamehe aliyemuua mume wangu’

KIGALI, RWANDA Unapaswa kuwa na upendo ili upone; ndivyo anavyoamini mwanamke huyu ambaye si tu kwamba amekwisha kumsamehe mtu aliyemuua mumewe miaka 28 iliyopita, lakini pia amekubali kijana wake kumuoa binti wa aliyekuwa ‘mbaya wake’! Mwanamke huyu, Bernadette Mukakabera, amekuwa…

Marekani yatumia Bunge kumwengua Waziri Mkuu Pakistan 

Na Nizar K Visram Imran Khan, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, ameondolewa madarakani baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.  Kura hiyo ilipigwa Aprili 9, mwaka huu baada ya mvutano mkali baina ya Chama…