JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kikokotoo jinamizi jipya kwa wastaafu

*TUCTA wasema watarudi katika meza ya mazungumzo Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kanuni mpya ya kikokotoo ni kama jinamizi jipya lililoanza kuogopwa na wastaafu. Hofu ya wastaafu kuumizwa na kanuni hiyo inakuja siku chache baada ya Waziri Mkuu,…

Wadau wa uongezaji thamani madini waitikia wito wa Serikali kuwekeza kwenye viwanda nchini

Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma, Dodoma, Katavi na Lindi Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo wadau wa Sekta ya…

RC Chalamila : Dar iko salama, barabara zote zitafanyiwa ukarabati

-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika ziara hiyo…

Dk Mwinyi : Tumevuka lengo la ilani katika barabara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 imeelekeza kujenga kilomita 200 za barabara hadi sasa Serikali imejenga kilomita 800 kwa kuvuka malengo ya ilani hiyo. Rais Dk.Mwinyi…

TAKUKURU Kinondoni yapokea malalamiko 84 kwa kipindi cha Januari hadi Machi, 2024

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kinondoni imesema katika kipindi cha miezi mitatu Januari hadi Machi ,2024 wamefanikiwa kupokea jumla ya malalamiko 84 ambapo yaliyohusu rushwa ni 40 yasiyohusu rushwa ni 44. Amebainisha…

JKCI yaanza kuwahudumia wagonjwa majumbani

……………………………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanzisha huduma ya kuwahudumia wagonjwa wakiwa majumbani (home based care) ambayo itasaidia kupunguza gharama ambazo mgonjwa uzitumia akiwa hospitalini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati…