Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha ambapo anatarajia kufungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Wafamasia Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).