Author: Jamhuri
Serikali yawataka wawekezaji kuhodhi maeneo yaliyotengwa kwa uwekezaji Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI mkoani Pwani, imeagiza wawekezaji wanaohitaji kuwekeza mkoani humo wahakikishe wanahodhi maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji pamoja na kongani ,ili kuepuka kufanyiwa utapeli na kununua maeneo yaliyo kwenye migogoro ya ardhi. Aidha halmashauri za…
Kunenge awaasa wakulima wa korosho kulima kilimo chenye tija
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mkuranga Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ,amewaasa wakulima wa zao la korosho ,kuhakikisha wanalima kilimo cha kisasa chenye tija ili kupata korosho zenye ubora na kujiongezea kipato. Aidha ametoa rai kwa wataalamu wa kilimo…
Msigwa akabidhi kijiti kwa Matinyi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Aliyekuwa Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Gerson Msigwa amekabidhi rasmi kijiti kwa mrithi wake Mobhare Matinyi huku akiahidi kuteleleza kwa vitendo majukumu yake ya sasa na kumshukuru Rais Samia Suluhu…
Serikali yaja na mpango wa kusimamia maendeleo ngazi ya kata
Na WMJJWM-Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Ofisi ya Rais TAMISEMI imeandaa mpango mkakati wa kusimamia maendeleo kuanzia katika ngazi ya Kata utakaoshirikisha wananchi kuwajengea uwezo wa kushiriki na kufuatilia utekelezaji wa…
Hospitali ya Rufaa Simiyu kuanza huduma za kibingwa kwa wajawazito na watoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Simiyu imeanza kupokea vifaa tiba mbalimbali kutoka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya ziwa, kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibingwa kwa akina Mama wajawazito na watoto. Hatua hiyo inatajwa…
Waziri Silaa akerwa mfanyabiashara kusumbuliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza mmiliki wa mgahawa unaojulikana kama Fresh Restaurant uliopo Manispaa ya Moshi asisumbuliwe na badala yake asaidiwe ili aweze kulitumia eneo lake kulingana na matumizi…