JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bunge limeidhinisha bajeti ya bilioni 74.2 kuimarisha huduma za maendeleo ya jamii

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya shilingi Billioni 74.2 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu itakayosaidia kuratibu afua za kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake…

Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imebainika kuwa wafanyabiashara wakubwa wanaokwepa kodi za forodha za kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China na baadhi ya wanasiasa ndiyo waliokuwa chanzo kikuu cha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo, huku wafanyabiashara wadogo wakitumika kama chambo na…

Mmoja afariki baada ya daladala kuligonga treni Dar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada daladala waliokuwa wamepanda kuligonga treni katika makutano ya barabara na reli eneo la Kamata jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo imetokea leo saa 12 asubuhi Mei 18, 2023 wakati daladala hilo…

‘Tuache kuwanyanyapaa waraibu dawa za kulevya kwa kuwaita mateja’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Rai imetolewa kwa jamii kuacha kuwanyanyapaa waraibu wa madawa ya kulevya, kwa kuwaita mateja,na badala yake wasaidiwe kupata ushauri ili waache tabia hizo. Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa mwaka huu Abdallah Shaib,alitoa rai hiyo…

TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi mitano ya maendeleo

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imebaini mapungufu katika utekelezaji wa miradi mitano ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5.5. Akitoa taarifa ya utendaji kazi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma katika kipindi…