Author: Jamhuri
Serikali ilivyodhamiria kuifungua Wilaya ya Nyasa
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Mbambabay Serikali imetenga shilingi bilioni 22 kuanza kujenga daraja la Mitomoni katika mto Ruvuma linalounganisha wilaya ya Nyasa na Songea mkoani Ruvuma. Haya yalisemwa hivi karibuni na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Gofrey Kasekenya wakati…
Iran yatoa likizo ya siku mbili kutokana na joto kali
Iran imetangaza likizo ya siku mbili kwa wafanyakazi wa Serikali na benki kutokana na hali ya joto inayoongezeka kote nchini humo. Uamuzi huo umewadia wakati nchi duniani kote, ikiwa ni pamoja na Iran, zinakabiliwa na ongezeko la joto la kihistoria…
Ukosefu wa dola ya Marekani waathiri bei ya mafuta nchini
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania, EWURA, imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha, mafuta aina ya Petroli imepanda kwa shilingi 443 na dizeli ikipanda kwa shilingi 391 kwa kila lita moja kwa mafuta yanayouzwa…
Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini
Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kujadiliana kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini na kuzitangaza…
NMB yadhamini maonesho ya Nane Nane kwa mil.80/-
BENKI ya NMB yadhamini Maonesho ya Nane Nane kwa Shilingi Mil. 80/-Kwa kuthamini mchango wa kilimo katika ukuaji wa uchumi nchini, Benki ya NMB imedhamini Maonesho ya Nane Nane kwa kutoa shilingi milioni 80. Maonesho haya makubwa ya wakulima Nane…