JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yashiriki mkutano wa Shirika la Makazi Algeria

Wajumbe wafanya mazungumzo na Balozi Tanzania nchini humo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Algeria Ujumbe wa Tanzania unaohudhuria Mkutano Mkuu wa dharura wa Shirika la Makazi Afrika(Shelter Afrique) unaofanyika Jijini Algiers umekutana na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Algeria ili…

Waziri Silaa ataka mpango uendelezaji eneo la viwanda Kibaha

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameta kuwepo mpango wa uendelezaji katika eneo la Kongani ya Viwanda (Industrial Park) lililopo Kibaha vijijini mkoa wa Pwani. Silaa ametoa kauli hiyo tarehe 4 Oktoba…

NMB yatoa milioni 20 kupiga jeki shule tatu za Wilaya ya Ilala

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule tatu za wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es Salaam…

Serikali yaweka mkalati kuboresha uwekezsji sekta ya madini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia Dodoma Wizara ya Madini imeweka Mipango ya kuhakikisha Sekta Madini inafungamanishwa na mipango ya taifa ili kuwa na Matumizi yenye tija katika rasilimali za nchi hususan katika Sekta ya Madini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 4, 2023 na…

CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Dar SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhiri Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza…

Sekta ya madini kufungamanishwa na mipango ya Taifa uwekezezaji

Mazingira ya Uwekezaji Sekta ya Madini kuboreshwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Imeelezwa kuwa, Wizara ya Madini imeweka Mipango ya kuhakikisha Sekta Madini inafungamanishwa na mipango ya taifa ili kuwa na Matumizi yenye tija katika rasilimali za nchi hususan katika…