Author: Jamhuri
Hongera Rais Samia Suluhu Hassan
Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha Dk. John Magufuli. Taifa, kama familia, linapoondokewa na kiongozi mkubwa kwa kawaida huibuka shaka na sintofahamu miongoni mwa wananchi….
Watu wasilazimishwe kulala mapema
Nianze kwa kumpongeza kiongozi wetu Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Mwaka mmoja ni muda mfupi, lakini kiongozi wetu amethibitisha nia yake njema ya kuwa na Tanzania yenye…
Cannavaro alituachia Yondani, Yondani ametuachia nani?
Dar es Salaam NA MWANDISHI WETU Wiki iliyopita kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen, ametangaza kikosi chake ambacho kilitarajiwa kukusanyika na kuingia kambini Jumapili ya juzi kwa ajili ya kujiandaa na michezo yake mbalimbali. Ukikisikia…
Uteuzi wa Steve Nyerere Shirikisho la Muziki uwashtue wasanii
DAR ES SALAAM NA CHRISTOPHER MSEKENA Miongoni mwa mambo yanayoirudisha nyuma sekta ya sanaa nchini ni utamaduni wa wasanii kupuuza mambo muhimu yaliyowekwa kwa ajili ya ustawi wao. Wiki jana tasnia ya burudani ilikuwa gumzo baada ya Shirikisho la Muziki…
UJUMBE WA KWARESMA – (2) ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu Kristo, mpatanishwe na Mungu’
Hii ni sehemu ya pili ya Ujumbe wa Kwaresma kwa mwaka 2022 kama ulivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). Tuendelee… Agano Jipya 9. Kwa njia ya dhambi binadamu anatengeneza uadui na Mungu. Anatengwa na Mungu na anakuwa chini ya…
Kwa nini Katiba mpya ni muhimu
Morogoro Na Everest Mnyele Katiba tuliyonayo sasa pamoja na marekebisho yake, ni ya mwaka 1977. Katiba hii ni matokeo ya kuundwa kwa chama kimoja cha siasa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Februari 5, 1977. Katika hali ya kawaida, Katiba iliyopo pamoja…