Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ajili ya kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Tanga Machi 07, 2023
 Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.

By Jamhuri