JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kinana afurahishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Magufuli

Na Mwandishi Wetu,JamhuruiMedia,Mwanza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amesema Chama kinaridhishwa na mwenendo wa ujenzi wa daraja la JPM Magufuli linalounganisha kati ya Mkoa wa Mwanza na Geita ambalo linajengwa eneo la…

Kinana atembelea shamba la mbegu bora za mahindi Misenyi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera. Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika…

Watakaosalimisha silaha wanazomiliki kinyume cha sheria kusamehewa

Jeshi la Polisi linapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa,kutakuwa na uzinduzi wa kampeni maalum ya mwezi mmoja unaojulikana kama msamaha wa Afrika itakayohusisha usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari zinazomilikiwa na baadhi ya watu kinyume cha sheria, ama kwa kutokujua taratibu…

Simba yachapwa 1-0 na Arta Solar ya Djibouti

Licha ya kumiliki mpira kwa asilimia 61 Timu ya Simba imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wageni Arta Solar kutoka nchini Djibouti mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Shujaa wa Arta Solar…

IGP Wambura awataka askari kutenda haki

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kilimanjaro Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka askari wa Jeshi hilo kuzingatia uadilifu na kutenda haki wakati wanapo wahudumia wananchi kwa kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya kulinda watu na mali zao….