Author: Jamhuri
MARY MAJALIWA: Wazazi Wekezeni Kwenye Elimu Ya Watoto
MKE wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewaomba wazazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wahakikishe wanatumia sehemu ya kipato chao katika kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao. Amesema elimu ndiyo jambo pekee linaoweza kumsaidia mtoto katika kutimiza…
Mbowe: CCM wamevuruga Uchaguzi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Uchaguzi Mdogo wa Madiwani 43 uliofanyika Jumapili umevurugwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimkakati, hivyo baadhi ya maeneo wamemua kujitoa ikiwamo Mkoa wa Manyara. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (pichani) ameliambia JAMHURI kuwa…
Steve Nyerere Amtolea Povu Polepole, Wema Kurejea CCM
Muda mfupi baada ya Wema Sepetu kutangaza kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimesema hakina taarifa rasmi kuhusu Wema kutaka kurudi. Hayo yamesema na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram…
Katibu wa CHADEMA Manyara Arejea CCM
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Meshack Turento ametangaza kujivua wadhifa huo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi akidai chama hicho (CHADEMA) imewatelekeza. Akizungumza jijini Arusha Turento alidai kuwa, kabla ya kujiunga…
Samia Suluhu Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Hospital
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi. Samia amtembelea Lissu baada ya kumalizika kwa hafla ya kumwapisha Rais Uhuru Kenyatta kuwa…
MAJALIWA: Tutawashughulikia Wote Wanaotumia Vibaya Fedha Za Ukimwi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia watu wote wanaotumia vibaya fedha za umma ambazo zinapaswa kuleta maendeleo kwa wananchi, zikiwemo na za Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi. Amesema mfuko huo unalenga kufanikisha ukusanyaji wa fedha za kutosha amabazo ni…





