Author: Jamhuri
Wachina hufanya chochote wanachotaka
Juni 1964 Tanzania ilitembelewa kwa mara ya kwanza na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka China. Alikuwa Wazari Mkuu Chou en-Lai.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
Mauaji ya Barlow wingu zito latanda
*Polisi wasema kijana aliyetaja mtandao ni mgonjwa wa akili
*Yeye asisitiza kuwa kichaa, analazimishwa dawa Muhimbili
*Ndugu waeleza historia, daktari anayemtibu aingia mitini
Jeshi la Polisi nchini limempeleka na kumlaza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kijana Mohamed Malele, mshirika wa mtandao uliohusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakidai ni mgonjwa wa akili.
RPC ‘atumika’ kuchangisha rushwa
* Watendaji wadaiwa kutumia jina lake kula rushwa kwa walima bangi
* RPC Tarime/Rorya awaruka, DC asema dawa yao inachemka
Maofisa watendaji wa Kijiji cha Kwisarara na Kata ya Bumera wanatuhumiwa kutumia jina la Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) wa Kipolisi Tarime/Rorya kuchukua rushwa ya fedha kutoka kwa wakulima wa zao haramu la bangi.
Rage ni tatizo Simba-Kalimauganga
Mwenyekiti wa Friends of Simba, Mkoa wa Tabora, Sadiki Kalimauganga, amesema kuwa kufanya vibaya kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club ya Dar es Salaam, katika Ligi Kuu ya Vodacom iliyomalizika hivi karibuni, kunatokana na uongozi mbovu wa Ismael Aden Rage.
Diwani awaangukia wezi wa sola
Diwani wa kata ya Kisaka wilayani Serengeti, Chacha Togoche, ‘amewangukia’ wezi akiwaomba kutorudia kuiba sola katika zahanati ya kijiji cha Nyiboko.
Habari mpya
- Rais Samia aenda kuhudhuria uapisho wa rais mteule wa Zambia
- Rais Samia, Nchimbi, Ndejembi na siasa za CCM
- Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 1-7, 2026
- Prof. Shemdoe apongeza mpango wa Mufti Bima Foundation kuwasaidia wananchi wasio na uwezo
- TASAC yasitisha leseni za ICD na kufungia sita
- BoT yawataka wasanii kuwa mabalozi wa elimu ya fedha
- Serikali ichukue hatua hizi kukabiliana na mvua za El Nino
- Serikali yatoa trilioni 4.7/- kulipa mikopo ya wanafunzi
- SUA yageuka kitovu cha fursa ya kilimo:7500 wadahiliwa
- Matumizi ya CNG Dar yabaki chini, gharama za ufungaji zatajwa kuwa kikwazo
- Dkt. Munisi: Viongozi wa dini hubirini maadili mema, kudumisha amani nchini
- Maono ya Rais Samia yazidi kupata msukumo, GEL yajenga kizazi cha sayansi na teknolojia
- Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu
- Sheria ya NHIF kupanua wigo wa wanachama na kuboresha huduma
- NMB yahimiza matumizi ya teknolojia kukuza biashara