Author: Jamhuri
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Tanesco inawakera wateja Dar es Salaam
Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limeanza kuwakera wateja wake jijini Dar es Salaama, hata baada ya uongozi wa wizara husika kutangaza kikomo cha tatizo la mgawo wa nishati hiyo.
Mihadarati sasa yapigiwa upatu
Nilipokuwa nchini Ghana kwa mafunzo ya vitendo mwishoni mwa miaka ya ’80, nilishangazwa na daktari mmoja. Nakumbuka ilikuwa katika Korle-Bu Teaching Hospital ya Chuo Kikuu cha Accra, na bado sijausahau mtaa wake – Guggisberg Avenue katika mji mkuu, Accra.
JK asifu utendaji wa Mchechu NHC
Rais Jakaya Kikwete ameusifu utendaji wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu, kwamba umerudisha heshima ya shirika hilo.
Ameisifu pia Bodi ya NHC, wafanyakazi wa shirika hilo kwa kutoa ushirikiano mzuri kwa mkurugenzi huyo.
Yah: Kama ningekuwa Waziri wa Usalama Barabarani
Wanangu, nawapa kongole ya kutimiza miaka 51 ya Uhuru mlionao hivi leo, nawapongeza kwa kuwa sisi wana-TANU ni kama ndoto ya kuamini kuwa tumeweza kuhimili vishindo vya wakoloni kwa kipindi chote hiki.
Sarafu moja Afrika Mashariki ni mtego
Wiki iliyopita hapa nchini umekuwapo mjadala wa kiuchumi, unaohoji mpango wa kuharakisha matumizi ya sarafu moja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mjadala huu umehusisha wadau mbalimbali, akiwamo Balozi wa Tanzania nchini Ubeligji, Dk. Diodorus Kamala.
Habari mpya
- Tanzania, AngloGold Ashanti kuimarisha ushirikiano
- JWTZ laadhimisha miaka 62 tangu kuanzishwa kwake
- NIDA yazindua Kampeni ya Kipo Chukua, Kamilisha Safari Yako
- TANESCO yabaini matukio ya wizi wa umeme Kinondoni Kaskazini
- Madereva 56 wafikishwa mahakamani, 12 wafungiwa leseni Pwani
- Nombo : Weledi na uadilifu ni msingi wa utendaji
- Bei za mafuta Septemba zashuka nchini
- Msajili wa Hazina ateta na uongozi wa kampuni ya Barrick
- Mhe. Salome: Wizara ya Nishati ina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika
- Serikali, KPMG kuimarisha ushirikiano katika maboresho ya mfumo wa kodi
- ADEM yasisisitiza matumizi sahihi ya AI kuboresha ubora wa elimu nchini
- Makamu wa Rais awasalimu wananchi wa Mbuyuni wilayani Moshi
- Rais Mwinyi azitaka nchi za NAM kuunganisha sauti katika maamuzi ya kimataifa
- Prof. Shemdoe aelekeza wafanyabiashara 30 soko la ndizi Mabibo kurejeshwa sokoni
- Mavunde aitaka Mantra kuharakisha mradi wa Urani Mkuju