Category: Habari Mpya
Wandishi wa habari watakiwa kuvaa mavazi maalum kwenye mazingira hatarishi
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Musoma Waandishi wa Habari Mkoani Mara wametakiwa kuvaa mavazi maalum au beji wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao kwenye mazingira hatarishi. Hayo yamesemwa katika mdahalo wa nne kati wa Jeshi la Polisi, waandishi wa Hlhabari, viongozi wa Dldini,…
Prof: Mkumbo aziagiza bodi za taasisi za Serikali kuleta matokeo chanya
Na: Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Raisi, Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo, ameagiza Bodi zinazowakilisha Serikali kwenye mashirika zenye hisa chache kusimamia kwa ukamilifu mashirika hayo kwa maslahi mapana ya taifa. Prof. Mkumbo ametoa maelekezo…
Makarani waongozaji wa uchaguzi wafundwa Kibaha
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Ikiwa imesalia siku tatu tu kabla ya Uchaguzi Mdogo wa udiwani Kata ya Msangani Jimbo la Kibaha Mjini ambao unatarijiwa kufanyika Jumatano Machi 20 ,2024 makarani waongozaji wamepata mafunzo. Mafunzo hayo yanetolewa leo Machi 16,…
Wananchi bonde la mto Rufiji wapewa tahadhari
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi walioweka makazi na kufanya shughuli za kilimo katika bonde la mto Rufiji kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maji yanayoongezeka katika mto huo. Mkuu wa Mkoa wa…





