Category: Habari Mpya
Wadau waitaka sheria afya ya uzazi
Na Irene Mark, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKATI duani ikiadhimisha Siku ya Wanawake, Tanzania imetakiwa kutengeneza sheria itakayompa mwanamke nguvu ya kuamua kuhusu masuala ya afya ya uzazi. Hali ilivyo sasa, inaelezwa kwamba nusu ya wanawake hapa nchini, hawafanyi uamuzi…
Serikali Pwani yakemea uchomaji misitu kiholela
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI mkoani Pwani, imekemea tabia ya uchomaji moto misitu ,unaofanywa kwenye baadhi ya maeneo ,kwani kwa kufanya hivyo ni kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira. Mkoa huo ni miongoni mwa mikoa inayoshamiri kwa changamoto ya uharibifu…
Katibu Mkuu Nishati afanya kikao na wawakilishi kutoka Energy Cards
📌 Inajishughulisha na kutoa ushauri Sekta ya Nishati Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Taasisi ya Energy CARDS ambao walifika ofisini kwake kwa ajili ya kutambulisha shughuli wanazozifanya. Katika kikao kilichofanyika tarehe 7…
Matumizi ya nishati safi ya kupikia yameanza rasmi – Dk Biteko
📌 Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es Salaam 📌 Ataka taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaa 📌 Ahimiza wadau kuunga mkono juhudi za Serikali 📌 Baadhi ya Wajasiriamali wafunguka Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar…
Viwanja 10,000 kupimwa awamu ya pili kwa wanaohamia kutoka Ngorongoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Msomera Jumla ya viwanja 10,000 vinatarajiwa kupangwa na kupimwa katika sehemu ya eneo lililokuwa Pori Tengefu la Handeni awamu ya pili kwa ajili ya wakazi wanaohamia kutoka hifadhi ya Ngorongoro. Hayo yamebainishwa tarehe 7 Machi 2024…
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi Urambo
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Mfanyabiashara maafuru Wilayani Urambo Mkoani Tabora Ramadhani Ntunzwe (53) amejiua kwa  kujipiga risasi kichwani akiwa nyumbani kwake . Kamanda wa Polisi Mkoani hapa SACP Richard Abwao amethibitisha kutokea tukio hilo Machi 6 mwaka huu majira ya…





