JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mgomo wa daladala Mwanza waathiri wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Madereva wa usafiri wa umma, maarufu ‘daladala’ wamegoma mkoani Mwanza, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa kwa muingiliano wao (daladala) na pikipiki za miguu mitatu, maarufu ‘bajaji’, katika vituo vya kupakia abiria….

Ajali yaua tisa Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema ajali…

Dk Biteko : Rais Samia hataki misukosuko kwa wafanyabiashara

📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu 📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama…

Wakulima wa viungo Kizerui, Antakae walilia sheria ya usimamizi wa mazao hayo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga WAKULIMA wanaozalisha mazao ya viungo kwa mfumo wa kilimo hai katika vijiji vya Kizerui na Antakae wilayani Muheza mkoani Tanga wameiomba Serikali kutengezeza sheria za kusimamia mazao hayo ili kuweza kuyalinda na kuyaongezea thamani. Ombi…

Watumishi wanawake TUICO waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar wa Salaam WATUMISHI wanawake kutoka Chama Cha Qafanyakazi (TUICO) wameugana na wenzao nchini kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Dunia Heri…

Rais Samia mbeba ajenda ya nishati safi ya kupikia

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amewaahidi watanzania kuibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa kutafuta fedha zaidi kukuza nishati ili kuitunza misitu na kuhifadhi mazingira . Dk. Samia amezungumza…