Category: Habari Mpya
Waajiri watakiwa kuwasilisha taarifa za wastaafu mapema kuwaondolea usumbufu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma.. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi,ameagiza waajiri wote wanawasilisha taarifa za kustaafu kwa mtumishi wake Katika kipindi cha miezi sita kabla ya kustaafu ili kuwapunguzia mateso ya…
Rostam: Mjadala kuhusu bandari ya Dar es Salaam na DP World unaendeshwa kishabiki
Viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wanasiasa, viongozi wa dini wameitaka serikali kuwa na mijadala ya wazi hasa mijadala inayohusu tunu na mageuzi ya kisasa yanayokuza uchumi wa Taifa. Hayo yamebainishwa Juni 19,2023 jijini Dar es Salaam wakati wa mjadala wa kitaifa…
MSD yaanza rasmi zoezi la kuhesabu mali
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza rasmi zoezi la kuhesabu mali kwa mujibu wa sheria. Zoezi hili la kuhesabu mali linategemewa kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni 2023 ili kuanza mwaka mpya wa fedha. Katika kipindi hiki maghala yote ya MSD Makao…
Waziri Mabula awatuliza wapangaji Kariakoo
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewatuliza wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kariakoo na kuwataka kufuata sheria na mikataba waliyoingia na shirika hilo. Dk. Mabula amekuatana na…
BoT: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuukumbusha umma kwamba Serikali ilishatoa Tamko kuhusu katazo la matumizi ya fedha za kigeni kwa wakaazi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kulipia bidhaa na huduma nchini. Tamko la kwanza lilitolewa mwezi Agosti 2007…
Jaji Maghimbi: Mrundikano wa mashauri Dar kuwa historia
Na Mary Gwera, JamhuriMedia,Mahakama Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Salma Maghimbi amepongeza ushirikiano wa watumishi wa Kanda hiyo uliowezesha kupunguza mlundikano wa mashauri kutoka mashauri 595 Desemba, 2022 kufikia mashauri 162 tarehe 15 Juni,…





