Category: Habari Mpya
Rais Samia apokea gawio la bil.45.4/- kutoka NMB
Baadhi ya viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya NMB, viongozi wa dini pamoja wateja wa Benki ya NMB wakiwa katika katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya Mafanikio ya Benki ya NMB iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa…
Chongolo: Tukichezea vyanzo vya maji, tunachezea uhai wetu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo wakuu wa Wilaya, wenye viti wa Serikali za mitaa na watendaji wa vijiji kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika kutunza vyanzo vya maji na uhifadhi wa mazingira….
Polisi Arusha wakamata ng’ombe 319 walioibiwa
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kuwa katika kipindi cha mwezi juni mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 319 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini. Akitoa taarifa…
Polepole awasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Cuba
Humphrey Hesron Polepole Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi – Havana Nchini Cuba amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Miguel Díaz-Canel Bermúdez Rais wa Jamhuri ya Cuba. Baada ya kuwasilisha hati Balozi Polepole amekuwa na mazungumzo mafupi ambapo amempa salamu…





