Category: Habari Mpya
Wajumbe CWT waiomba Serikali kuingilia kati mgogoro ndani ya chama hicho
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma. Waliokuwa wajumbe 18 wa Kamati tendaji ya Chama cha Walimu nchini CWT ambao wameenguliwa kwenye nafasi hizo wamemuomba Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro ambao unaendelea ndani ya chama…
RC Kunenge aagiza Halmashauri Rufiji kuandaa mipango kwa kuzingatia vipaombele
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ,kuandaa mipango na bajeti kwa kuzingatia vipaombele vinavyolenga kuwandolea wananchi kero na kuwainua kimaendeleo. Maagizo hayo ameyatoa kwenye kikao maalum cha baraza…
Waaswa kusimamia ugawaji rasilimali za taifa kwa kufuata vigezo vya kitakwimu
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaasa viongozi na watendaji katika ngazi zote za kiutawala kusimamia vema maendeleo kwa kugawa rasilimali za taifa kwa kufuata vigezo vya kitakwimu na sio upendeleo. Kanali Thomas ametoa…
Ruvuma ilivyofanikiwa kutoa chanjo kwa zaidi ya asilimia 10
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kutoa chanjo mbalimbali ikiwemo chanjo kwa Watoto chini ya miaka mitano kwa asilimia zaidi ya 100 hadi kufikia Juni 2023. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezitaja chanjo hizo …
Polisi: Marufuku kuandamana Jumatatu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limeyapiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Jumatatu 19,2023 kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam huku likiwataka Wananchi kutoshiriki maandamano hayo. Akiongea Dar es Salaam , Kamanda wa Polisi Kanda Maalum…
RC Tabora atoa siku saba kampuni ya tumbaku kulipa wakulima bil.20/-
Serikali mkoani Tabora imeiagiza kampuni ya Voedsel inayojihusisha na ununuzi wa zao la tumbaku mkoani hapa kulipata deni la wakulima kiasi cha sh bil 20 ndani ya siku 7. Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi…





