Category: Habari Mpya
Chongolo afunguka sakata la bandari
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amefunguka kuhusu upanuzi na uendelezaji wa huduma za bandari Tanzania ambapo amesema mradi huo una manufaa kwa maendeleo ya Taifa huku akisisitiza nchi inapaswa kusimama imara katika masuala ya msingi. Amesisitiza…
Miradi 293 yasajiliwa na kuongeza uwekezaji nchini
Serikali imesema kuwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kwa mwaka 2022 kimesajili miradi 293 ikilinganishwa na 256 iliyosajiliwa mwaka 2021, sawa na ongezeko la asilimia 14.5. Hayo yamebainishwa leo Juni 16, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu…
Serikali yaeleza sababu zilizosababisha mfumuko wa bei nchini
Serikali imesema kuwa kuna mambo matatu yaliyosababisha mfumuko wa beo na kupanda kwa gharama za bidhaa zinazoagizwa nje ya nchi. Hayo yamebainishhwa leo Juni 15, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba,wakati akiwasilisha bungeni hali ya uchumi…
Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na…





