Category: Habari Mpya
Polisi wakamata bastola ikiwa na risasi 71
Na Mwandishi Wetu-Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linaendelea na operesheni maalumu ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uhalifu ambapo kupitia operesheni hiyo pamoja na taarifa toka kwa wananchi tumefanikiwa kukamata bastola moja aina ya CZ 75 LUGER…
Mvua ya upepo mkali yaezua mapaa Njombe,
Wakazi zaidi ya tisa wa Kijiji cha Ngelenge kilichopo katika Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe wamekosa makazi baada ya mvua zilizoambatana na upepo zinazoendelea kunyesha mkoani hapa na kubomoa baadhi ya nyumba. Mtendaji wa kata hiyo Yusuph Lukuwi…
ZFDA yalifungia ghala la kuhifadhi chakula
Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) wamelifungia ghala iliyokua ikihifadhi bidhaa mbalimbali ikiwemo mchele kutokana na ghala hiyo kukosa sifa za kuhifadhia bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa kushtukiza kuangalia usalama wa chakula,na uhalali wa uwepo wa ghala…
MIAKA MIWILI BILA JPM…
Askofu: Hata wazuri pia hufa
Na Daniel Limbe,JamhuriMedia,Chato Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge, Ngara, limesema kuwa hata watu wema hufariki dunia. Kauli hiyo imetolewa leo na Askofu wa Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi, wakati akiongoza ibada ya kumwombea toba aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli,…
Ruzuku kutoka REA mkombozi ukamilishaji mradi wa umeme Lupali
Na Veronica Simba Watawa wa Kanisa Katoliki wa Shirika la Wabenediktini, Imiliwaha Njombe, wametoa shukrani kwa Wakala wa Nishati Vijijini kwa kutoa ruzuku inayotumika kukamilisha utekelezaji wa mradi wa umeme wa maji – Lupali utakaozalisha kilowati 317 pindi ukikamilika. Walitoa…





