Madaktari wa upasuaji masikio Hospitali za Rufaa za Mikoa na Kanda wajengewa uwezo Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Hearwell Audiology Clinic zimeendesuha mafunzo ya siku tatu kwa wataalam kutoka hospitali mbalimbali nchini yenye lengo la kuwajengea uwezo juu ya upasuaji wa masikio. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo…