Category: Habari Mpya
Wanaompinga Rais Samia kuhusu katiba mpya, wanampima
Na Mwandishi wetu JAMHURI Katibu wa BAWACHA Taifa, Carherine Ruge, amesema wanaompiga Rais Samia Suluhu Hassan katika dhamira yake ya kuhakikisha inapatikana Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndani ya CCM, hawampingi bali wanampima. Ruge ametoa kauli hiyo wakati…
Nape:Tuna pengo kubwa kidijitali kati ya wanawake na wanaume
Na Wilson Malima, Jamhuri Media. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amesema, licha ya kuongezeka kwa matumizi ya TEHAMA duniani, ushiriki wa Wanawake na Wasichana bado upo Chini hasa katika nchi zinazoendelea. Amesema, nchini Tanzania…
Serikali yapiga marufuku watoto chini ya miaka 10 kusoma shule za bweni
Na Mwandishi Wetu Serikali imepiga marufuku shule za bweni kwa wanafunzi wa shule ya awali na madarasa ya mwanzo ya shule za msingi , malengo ni kuwapa watoto fursa ya kuwa na uhusiano na familia zao kuelewa mila, tamaduni na…
RC Mara awashtaki wabunge kwa utoro kwenye vikao
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee amewashitaki wabunge wa majimbo kwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa kwa kutohudhuria vikao vya Bodi ya Barabara ikiwemo kikao cha ushauri cha mkoa RCC bila kutoa taarifa yeyote. Akizungumza…
TANROADS Pwani yatoa mapendekezo ya mpango kazi wa bil.52/-
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Wakala wa Barabara mkoani Pwani (TANROADS),imetoa mapendekezo ya kiasi cha fedha sh.bilioni 52.378 katika mwaka wa fedha 2023/2024 ikiwa ni mpango kazi wa matengenezo ya barabara na miradi ya maendeleo. Aidha, TANROADS Pwani,imefanya kazi kubwa kutekeleza mradi…





