Category: Habari Mpya
TCRA yataja changamoto zilizopo katika sekta hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt.Jabiri Bakari,amezitaja changamoto katika sekta hiyo nchini kuwa ni pamoja na uharibifu wa miundombinu ya mawasiliano. Hayo ameyasema leo Novemba 3,2022 jijini Dodoma,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Utekelezaji wa Shughuli…
Waziri Gwajima kushiriki mkutano wa maswala ya wanawake Uturuki
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewasili nchini Uturuki katika jiji la Instanbul, na kupokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini humo Lt. Jen. Y. H. Mohamed, leo tarehe 03 Novemba,…
Moto mlima Kilimanjaro,Serikali yaipa Wizara maagizo matatu
Serikali imetoa maagizo matatu kwa Wizara ya Maliasili na Utalii na TANAPA katika kukabiliana na changamoto ya moto kwenye maeneo ya hifadhi ikiwemo mlima Kilimanjaro wakati inapojitokeza. Agizo hilo limetolewa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo bungeni Novemba 3,2022 bungeni jijini…
Tanzania,Korea Kusini zaingia makubaliano kuimarisha sekta ya ardhi
Na Mwandishi Wetu SERIKALI kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingia makubaliano na Wizara ya Ardhi Miundombinu na Usafirishaji ya Korea Kusini kwa ajili ya kuimarisha sekta ya ardhi. Makubaliano hayo yametiwa saini jana na Waziri wa…
“Watu bilioni 3.6 hatarini kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi duniani’
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema Tanzania imejiandaa kikamilifu kushiriki Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Sharm El Sheikh nchini Misri kuanzia tarehe 31…





