JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali kuendelea kuwekeza TAZARA

Serikali imesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya bilioni 12 kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya ndani na nje ya nchi…

Majaliwa awataka Ma’RC waimarishe mawasiliano utekelezaji zoezi la Sensa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati zoezi la sensa likiendelea. Ametoa agizo hilo leo ( Alhamisi, Agosti 25, 2022) wakati akizungumza na wakuu wa mikoa kwenye kikao alichokiendesha kwa…

JKT yatoa wito kwa vijana kujiunga na mafunzo kwa kujitolea 2022

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa wito kwa vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2022. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 25,2022 Jijini Dar es Salaam, Mkuu…

Nape: Waandishi wa habari ni kama wanataaluma wengine wajisimamie wenyewe’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SERIKALI imesema kuwa sheria ya mwaka 2016 ilitungwa ili kupunguza mikono ya Serikali kuendesha vyombo vya habari kwani sheria ya mwaka 1976 ilikuwa imeweka mikono mingi sana. Akizungumza katika kipindi cha Televisheni cha BBC, Dira ya DuniaWaziri…