Category: Habari Mpya
Wizara zaweka mikakati kuweka mazingira wezeshi kwa wazee
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji zimekubaliana kuweka mikakati…
Serikali yaonyesha nia kumaliza kiu Mabadiliko ya Sheria ya Habari’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar WAKILI wa kujitegemea na mwakilishi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),amesema kuwa katika mchakato wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari,Serikali imeonyesha nia ya kufanyia kazi vipengele mbalimbali hivyo mchakato huo utapata majibu yatakayomaliza kiu sekta ya habari….
Wahifadhi watakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amewataka wahifadhi kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaoishi pembezoni mwa hifadhi ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao ya kuhifadhi rasilimali za Taifa. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe….
Waziri Aweso amuondoa meneja RUWASA Kondoa
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondosha katika nafasi ya Meneja wa RUWASA Wilaya Kondoa Mhandisi Falaura Suleiman Kikusa kwa kushindwa kumudu majukumu yake kikamilifu. Waziri Aweso akiwa Wilayani Kondoa amebaini kuwa Meneja huyo wa Maji Vijijini Wilaya amefanya usanifu wa…
Babu miaka 92, afaulu mtihani wa hesabu
Mwanamume mkongwe wa miaka 92 anayeaminika kuwa mtu mzee zaidi nchini Uingereza kufanya mtihani wa GCSE amefaulu mtihani wake wa somo la hesabu darasa la tano – kwa alama ya juu zaidi. Derek Skipper,kutoka Orwell huko Cambridgeshire, alifanya mtihani baada…





