JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tabora yaongoza usajili wa laini za simu Kanda ya Kati

Mkoa wa Tabora unaongoza mikoa ya kanda ya kati kwa Tanzania Bara kwa uwiano mkubwa kati ya wakazi wa mkoa huo na laini za simu zilizosajiliwa, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za mawasiliano nchini. Meneja mkuu wa kanda…

Wahandisi na wakandarasi wazawa watakiwa kuchangamkia fursa

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali itaendelea kuwasajili na kuwawezesha wakandarasi na wahandisi wazawa ili waweze kunufaika na fursa za miradi ya ujenzi inayoendelea nchini. Amesema hayo jijini Dodoma, katika taarifa yake kwa Kamati ya Kudumu…

Bibi afariki baada ya kuruka kutoka ghorofani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Unguja Rehema Chande (70),ambaye ni mkazi wa Unguja, Zanzibar, amefariki dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa ya pili nyumba anayoishi wakati akijiokoa dhidi ya moto uliowaka ndani ya nyumba hiyo. Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Zanzibar, Rashid Mzee…

LIVE:Mkutano wa NHIF na wadau Geita

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekutana na wadau wake nchini kote kwa lengo la kuwasikiliza, kushauriana na kujadiliana namna ya kuboresha huduma mbalimbali wanazotoa ili ziweze kuwafikia kwa ufanisi. NHIF imejipanga kutoa huduma bora za matibabu kwa…

‘Taarifa za utoaji habari za watoto zina kasoro nyingi’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia BADO kuna changamoto za utoaji taarifa kuhusiana na vitendo mbalimbali wanavyofanyiwa watoto nchini na kuchangia matukio ya ukatili kuendelea kutokea. Hayo yamebainishwa katika mafunzo kwa wakuu wa vitengo vinavyosimamia wanafunzi wa uandishi wa habari katika vyuo mbalimbali…