Category: Kitaifa
Madeni yaitesa dunia, la Tanzania lafika trilioni 65/-
Ingawa deni la taifa limeongezeka maradufu miaka ya hivi karibuni na kufikia Sh trilioni 65 miezi mitatu iliyopita, ukubwa wake bado si hatarishi na si mzigo kwa taifa kama ilivyo sehemu nyingine duniani ambako madeni sasa ni tishio la ustawi…
Kampuni za bilionea Friedkin zaminywa
Mbinu za ukwepaji kodi unavyofanywa na kampuni za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazidi kufichuka baada ya kubainika kuwa kwa miaka zaidi ya 30 serikali imekoseshwa mabilioni ya shilingi kupitia udanganyifu kwenye mishahara. Akaunti maalumu kwa mpango huo zimefunguliwa ughaibuni na kutumika…
Kachero mstaafu bado apigwa danadana mafao yake
Kachero mstaafu wa Jeshi la Polisi, Thomas Njama, ambaye anadai mafao yake yaliyoyeyuka katika hali ya kushangaza, amerudishwa tena Jeshi la Polisi ambako ameambiwa ndiko anakoweza kupata ufumbuzi wa suala lake. Hatua hiyo imekuja baada ya Njama kukutana na maofisa…
Halmashauri ya Mkuranga kupandishwa kizimbani
Zaidi ya wakazi 1,100 kutoka wilayani Mkuranga mkoani Pwani wameruhusiwa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kuishitaki Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga iliyogawa ekari 750 za ardhi yao kwa mwekezaji. Wakiwakilishwa na wenzao saba, wananchi hao 1,119 walikwenda mahakamani kudai…
Benki zisaidie wananchi kujikwamua kiuchumi – Wadau
Pamoja na kutoa mchango mkubwa katika ujenzi wa uchumi imara, benki zinazofanya biashara hapa nchini zimetakiwa pia kuchangia zaidi kwenye maendeleo binafsi ya Watanzania kupitia huduma bora na kuwekeza vyakutosha katika shughuli za kijamii. Kwa mujibu wa wadau mbalimbali, benki…
Uzembe wa Serikali wapoteza bil. 1.3/-
Uzembe wa serikali kushindwa kutangaza kwenye gazeti lake makubaliano na kampuni ya kigeni kuhusu msamaha wa kodi uliotolewa kwa kampuni hiyo umezua mzozo wa kodi inayozidi Sh bilioni 1.3. Mzozo huo unatokana na hatua ya serikali kuipa taasisi hiyo msamaha…




