JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Bibi mjane Dar amlilia Makonda

Serikali ya Mtaa wa Nzasa Somelo, Kata ya Zingiziwa, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imetumia hila kumnyang’anya shamba la ekari tatu bibi mjane mwenye umri wa miaka zaidi ya 70. Shamba hilo ambalo limetenganishwa na Mto Nzasa, kipande…

Wadaiwa sugu KCBL waanza kusakwa

Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imeanza msako dhidi ya watu binafsi, vikundi vya wajasiriamali na kampuni zinazodaiwa mikopo na benki hiyo baada ya kushindwa kufanya marejesho ndani ya muda kulingana na masharti ya mikopo. Msako huo unafanywa na benki…

JAMHURI kinara tena

Gazeti la uchunguzi la JAMHURI limetwaa tuzo mbili za uandishi bora wa habari (Excellence in Journalism Awards Tanzania – EJAT) kwa mwaka 2018, tuzo zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Hatua hiyo ni sehemu tu ya mafanikio ya gazeti…

Mwenyekiti CWT adanganya

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Clement Mswanyama, amewadanganya walimu na Watanzania kwa ujumla juu ya umiliki wa mali za walimu, JAMHURI linathibitisha. Hivi karibuni, Mswanyama ameitisha mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma na…

Mhasibu Wizara ya Afya kizimbani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Wizara ya Afya, Yahaya Athuman (39) akishitakiwa kwa makosa 20 yakiwamo ya kughushi nyaraka na kuisababishia serikali hasara ya  Sh milioni 34 zilizotolewa na serikali mwaka 2014 kwa…

Vigogo wa Serikali walaza nje familia ya watu 13

Kutoa maoni au uamuzi kuhusu jambo ambalo bado halijatolewa hukumu mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama, hivyo unaweza kusababisha kupotosha mwenendo wa shauri au kesi iliyopo mahakamani. Jambo hilo linaweza kutendwa na mtu yeyote kwa kuzingatia masilahi anayopata kutoka upande…