JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tumlilie mzee Mengi tukitafakari maneno yake

Hakuna mtu anayeweza kuandika yote ya Dk. Reginald Mengi. Hata watu alioshinda nao na kukaa nao kwa miaka mingi, hawawezi kuyaeleza yote.  Huyu alikuwa mtu wa kitaifa na kimataifa. Alikuwa mtu wa watu wote, wadogo, wakubwa, maskini, walemavu, matajiri, wanasiasa…

‘Bila elimu – dini tutakwama’

Miaka 20 kifo cha Mwalimu Nyerere Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira…

Bandari inafanya kazi saa 24

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na wadau wake wa bandari imeboresha na kurahisisha utoaji huduma kwa wateja wake katika Bandari ya Dar es Salaam. Uboreshaji huo umefanyika na unaendelea kufanyika kwa sababu bandari ni lango kuu…

‘Wosia’ wa Dk. Reginald Mengi

Jumanne, Mei 7, mwaka huu maelfu ya Wana Dar es Salaam walikusanyika katika Ukumbi wa Karimjee kuaga mwili wa mpendwa wetu Dk. Reginald Mengi. Runinga za ITV, Star TV, Channel 10, Clouds TV, televisheni za mitandao ya kijamii na redio…

Ndugu Rais hakuna aliyeumbwa kwa bahati mbaya

Ndugu Rais, mwanetu Atosha Kissava katika wimbo wake wa Moyo wangu, aliimba, “Moyo wangu utakusifu wewe Baba, utakusifu milele! Najua uliniumba nitimize kusudi lako Baba. Siko hapa kwa bahati mbaya’’, yuko Mtanzania mwenzetu ambaye kwa asiyemjua, kwa jina lake peke…

Mrejesho makala ya “Mwalimu angekuwepo angesemaje?”

Jumanne, Mei 7, 2019, wakati nimeketi kibarazani kwangu nasoma Gazeti la JAMHURI, Toleo Namba 397 la tarehe 7 – 13 Mei 2019, alikuja jirani yangu anaitwa Imma, kijana wa miaka 25. Kabla sijamwonyesha nilichokuwa nasoma, nikamuuliza: “Unadhani Mwalimu Nyerere angekuwepo…