Category: Makala
Yah: Mambo ni mengi muda mfupi, Rais tusaidie
Lazima nianze na salamu na kongole kwa wote ambao mmefunga mwezi huu mtukufu, ni kama vile tumepishana kidogo na wenzetu Wakristo ambao wametoka kufunga, hii ni neema na ninaamini kuna kitu chema kinakuja mbele kutokana na imani za kidini na…
Mambo 6 kutoka kwa Mengi
Habari mpendwa msomaji. Kwanza kabisa niombe radhi kwa kutoendelea na makala ya ‘Nina Ndoto.’ Makala hizi zitaendelea kama kawaida wiki ijayo. Mapema Alhamisi ya wiki mbili zilizopita ilikuwa asubuhi yenye majonzi kwa Watanzania wengi. Tuliondokewa na mpendwa wetu Dk. Reginald…
Ujamaa… (46)
Katika maisha ya Kiafrika ya kizamani watu wote walikuwa sawa. Walishirikiana pamoja na walishiriki katika uamuzi wowote unaohusu maisha yao. Lakini usawa huu ulikuwa usawa wa kimaskini; ushirikiano wenyewe ulikuwa wa vitu vidogo vidogo. Na serikali yao ilikuwa serikali ya…
Ndugu Rais kinywa kiliponza kichwa
Ndugu Rais, kinywa kilikiponza kichwa ni maneno yenye hekima yaliyosemwa na wahenga wetu. Jikwae sehemu yoyote, lakini usijikwae ulimi. Maneno yakishamtoka mtu hawezi kuyarudisha mdomoni. Sijui wanakuwa na maana gani wanaosema futa maneno yako. Maneno yaliyokwisha tamkwa hayawezi kufutwa wala…
Lo! Misafara ya wakubwa
Mpita Njia (MN) wiki iliyopita akiwa mdau muhimu wa masuala ya habari nchini aliungana na waandishi wa habari katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. MN amesikia mengi katika maadhimisho hayo. Amesikia vilio vya wanahabari wanaoendelea…
Matajiri wengine waige mfano wa Dk. Mengi
Reginald Mengi, mmoja wa wafanyabiashara wachache wanaotajwa kuwa na moyo wa kuwasaidia binadamu wenzao, hatunaye tena duniani. Tangu taarifa za kifo chake zianze kusambaa wiki iliyopita, mamia kwa maelfu ya waombolezaji – ndani na nje ya nchi – wamejitokeza kutoa…





